Kikisar

Kikisar (pia Kimeher au Kiyotowawa) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakisar kwenye visiwa vya Kisar, Roma na Wetar. Wakisar wengine wamehamia visiwa vya [[Ambon na Timor. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kikisar imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikisar iko katika kundi la Kitimor-Babar.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search